Imewekwa : August 14th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Denis Masanja, amefanya kikao na watumishi wa idara ya afya ambapo amewataka kuwa wajibu, kujitolea, na kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na weledi wa hali ya juu. Kika...
Imewekwa : August 12th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe.Denis Masanja ameendelea kuonesha nia ya kutatua na kuondoa migogoro iliyopo kati ya wakulima na wafugaji, na migongano baina ya binadamu na wanyama,leo tarehe 11.08.202...
Imewekwa : August 12th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Denis Masanja, amekabidhi hati za kimila 472 kwa wananchi wa Kijiji cha Ngapa. Mpango huu una lengo la kuleta utulivu na maendeleo kwa jamii. Utekelezaji wake una...