MRADI WA UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 8 YA VYOO KATIKA SHULE YA SEKONDARI NAKAPANYA
Mradi huu wa ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu nane (8) ya vyoo ulifadhiliwa na BenkI ya Dunia (World Bank) kupitia Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Elimu ya Sekondari (MMES II). Mradi huu ulianza kutekelezwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa gharama ya Tsh.86,000,000.00 kwa mchanganuo ufuatao;
Malengo ya mradi wa ujenzi wa vymba vya madarasa na vyoo ilikuwa ni,
Mradi ulitekelezwa chini mkandarasi kutoka kampuni ya Mkonwa Company Limited aliyepewa zabuni ya kujenga Madarasa yote mawili (2) na matundu nane (8) ya vyoo ambapo alikamilisha kazi ya ujenzi na kukabidhi mradi tarehe 06/12/2016.
Mradi huu ulifunguliwa rasmi katika mbio za mwenge kitaifa terehe 11/05/2017 na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Ndg Amour Hamad Amour.
Ujenzi wa Hotesteli 2, maabara, matundu ya vyoo na vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Nandembo.
Halmashauri inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa hosteli mbili (2) madarasa manne (4) na ukarabati wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi na ujenzi wa Matundu 10 ya vyoo, mradi unawezeshwa na P4R na jumla ya shilingi milioni 259 zitatumika mpaka kukamilika kwa kazi zote sehemu ya mradi huu.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.