IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Patrick G. Haule
Mkuu wa Idara
MUUNDO NA MAJUKUMU YA MAAFISA WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI.
UTANGULIZI
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, kupitia Idara ya Elimu ina jukumu la kuratibu na kusimamia utoaji wa Elimu ya Sekondari kuanzia Kidato cha I hadi cha VI. Sera na miongozo mbalimbali ya elimu hutafsiriwa na idara husimamia utekelezaji wake kulingana na malengo yaliyowekwa ya utoaji wa elimu ya Sekondari kitaifa na kiwilaya.
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ina Jumla ya shule za sekondari 23, kati ya hizo shule 21 ni za Serikali na shule 2 ni za mashirika ya Dini.Shule hizi 21 za serikali ni za kutwa na bweni kwa wanafunzi, na jumla ya shule 4 kati ya 21 za serikali zinapokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita.
Idara inafanya shughuli zake kwa kufuata sheria, kanuni, miongozo na taratibu zilizowekwa na TAMISEMI na Serikali kuu kwa lengo la kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata Elimu bora itakayowawezesha kufaulu mitihani yao na kumudu maisha yao ya kila siku katika Nyanja mbalimbali. Idara ina Watumishi ambao wanaweza kutimiza malengo yaliyowekwa na Idara endapo watasimamiwa na kuwepo mazingira ya kufundishia ikiwemo miundombinu mfano, Vyumba vya Madarasa, Madawati, na Matundu ya Vyoo.
Utoaji wa Elimu ya Sekondari hufanywa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ndani na nje ya Halmashauri wakiwemo wananchi na jamii kwa ujumla.
|
|
KATIBU TAWALA MKOA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|||
|
|
AFISA ELIMU MKOA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|||
|
|
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI |
|
|||||
|
|
|
|
|
||||
AFISA ELIMU SEKONDARI (W) |
||||||||
|
|
|
|
|
|
|||
AFISA ELIMU TAALUMA (W) |
|
|
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU (W) |
|||||
|
|
|
|
|
||||
|
|
AFISA ELIMU KATA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|
||
|
|
MKUU WA SHULE |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|
||
|
|
WALIMU/WATUMISHI WENGINE |
|
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Lengo
Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu na kinajumuisha Sehemu nne (4) kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Kitaaluma
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
Sehemu ya Takwimu na Lojistiki
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
Sehemu ya Elimu ya Mahitaji Maalum
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Isiyo Rasmi
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
MAAFISA IDARA YA ELIMU SEKONDARI 2023
NAMBA
|
JINA
|
CHEO
|
1
|
PATRICK G. HAULE
|
AFISA ELIMU WILAYA
|
2
|
OSCAR ELIAS MWAKIPOSA
|
AFISA ELIMU TAALUMA
|
3
|
MUSSA CHANDU
|
AFISA ELIMU MAALUMU
|
4
|
MARIAMU MAGULIMA
|
AFISA ELIMU WATU WAZIMA
|
5
|
IBRAHIM T. WEMA
|
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU
|
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.