Imewekwa : October 12th, 2025
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, amewasili katika Wilaya ya Tunduru kwa ziara yake Mkoani Ruvuma, ambapo ametoa wito kwa wananchi kuendeleza misingi ya amani, upendo na unyenyekevu kati...
Imewekwa : October 8th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Ndg. Chiza Marando, ametoa rai kwa wananchi kuhakikisha watoto wao wanapelekwa shule ili kujenga msingi imara wa maendeleo kwa familia na taifa...
Imewekwa : October 8th, 2025
Wananchi wote walioandikishwa kwenye daftali la kudumu la wapiga Kura,ifikapo Oktoba 29,2025 tujitokeze kwa Wingi kupiga kura ,kwani ni haki yetu ya Kikatiba...