Imewekwa : August 6th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Linda Selekwa atembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru leo tarehe 06.08.2024 na kukutana na wataalamu mbalimbali wa Kilimo, , Mifugo na uvuvi pamoja na kujion...
Imewekwa : August 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Ndg. Chiza Marando, amewasili katika viwanja vya Nanenane leo tarehe 05.08.2024.
Pichani:DED Marando akinywa maziwa yaliyotengenezwa kwa ...
Imewekwa : August 4th, 2024
Uyoga ambao tunaufurahia kwenye mlo wetu sio lazima utoke porini tu. Teknolojia ya kisasa imetuwezesha kuzalisha uyoga kwa wingi na ubora wa hali ya juu katika mazingira yaliyodhibitiwa.
Halmasha...