• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MAFUNZO YA MFUMO WA NEST YAWAWEZESHA MAFUNDI WA NDANI, MAKUNDI MAALUM NA WAZABUNI KUSHIRIKI ZABUNI ZA SERIKALI.

Imewekwa : February 7th, 2026

Mafunzo maalum yaliyolenga kuwajengea uwezo Local fundi, makundi maalum pamoja na wazabuni yamefanyika leo ,tarehe 07/02 katika ukumbi wa Klasta-Mlingoti, kwa lengo la kuwawezesha kutumia kwa ufanisi Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi wa Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NEST) wakati wa kuomba na kushiriki zabuni za Serikali.


Mafunzo haya maalum, yameandaliwa na Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kupitia Kitengo cha Umamizi wa Ununuzi na Ugavi , yamehusisha pia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliokaribishwa kutoa elimu maalum kwa washiriki.


Ndg. Theophil Ngowi, Afisa Ununuzi kutoka PPRA, ameeleza kuwa lengo kuu la mafunzo ni kuongeza uelewa, ushiriki na ushindani wa haki kwa wazabuni wa ndani, sambamba na kupunguza changamoto zinazowakabili wakati wa matumizi ya mfumo wa NEST.

Washiriki wamepatiwa mafunzo ya kina kuhusu, Fursa zinazopatikana kwenye upendeleo wa makundi maalumu, hatua za kujiandikisha, kuomba zabuni na kufuatilia taarifa mbalimbali katika NEST, pamoja na sheria, kanuni na taratibu zinazowalinda wanaposhiriki zabuni, hatua itakayosaidia kuongeza uwazi, haki na uaminifu katika mchakato wa manunuzi ya umma.


Washiriki wameeleza kuridhishwa na elimu waliyoipata, wakibainisha kuwa itawasaidia kujiamini zaidi kushiriki zabuni za Serikali, kuboresha usimamizi wa biashara zao na kunufaika kikamilifu na fursa za kiuchumi.

Mafunzo haya ni sehemu ya jitihada za Serikali na PPRA za kuwajengea uwezo mafundi wa ndani, makundi maalum na wazabuni, ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika miradi na zabuni za Serikali, na kuchochea ukuaji wa uchumi wa ndani na maendeleo endelevu ya jamii.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA NEST YAWAWEZESHA MAFUNDI WA NDANI, MAKUNDI MAALUM NA WAZABUNI KUSHIRIKI ZABUNI ZA SERIKALI.

    February 07, 2026
  • FURSA NA ELIMU YA KODI ZAWAFIKIA LOCAL FUNDI, MAKUNDI MAALUM NA WAZABUNI TUNDURU.

    February 07, 2026
  • ELIMU YA FURSA ZA KIUCHUMI ZAWAFIKIA VIJANA WA BODABODA, BAJAJI NA MAGUTA TUNDURU.

    February 07, 2026
  • WAZEE WATAJWA NGUZO YA MAENDELEO: MWENYEKITI HALMASHAURI YA TUNDURU AZUNGUMZA NA WAZEE WA WILAYA.

    February 04, 2026
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.