Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo kuwaondoa wote wanaofanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji.
Mkuu wa Mkoa pia amewaagiza mifugo holela yote ipelekwe kwenye maeneo ya vitalu yaliyotengwa kwa ajili ya mifugo.Alikuwa anazungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mputa wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Mradi wa Kutatua migongano baina ya binadamu na wanyamapori katika ukanda wa Ruvuma.
Uzinduzi wa mradi huo unaotekelezwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Shirika la (GIZ) la nchini Ujerumani umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea ukishirikisha wawakilishi kutoka mikoa ya Ruvuma na Lindi.
Akizungumza kabla ya kuzindua mradi huo,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amesema migongano baina ya binadamu na wanyamapori ni miongoni mwa changamoto kubwa katika mikoa ya kusini hivyo kuhatarisha Maisha ya wananchi na mali zao
AFISA USHIRIKA AFNYA ZIARA KUSIKILIZA KERO ZA WAKULIMA KATIKA VYAMA VYA MSINGI
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.