Baada ya kuuzwa kinyemela kwa shilingi milioni 6, hatimaye Tunduru Korosho FC imerejeshwa rasmi leo 15 Agosti 2025 kwa mlezi wake, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mh. Denis Masanja
“Tunduru Korosho FC ni mali ya wananchi, fedha zote zilizotumika kuuza hii timu zirejeshwe kabla ya 30 Agosti 2025.” – Mh. Denis Masanja
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.