Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha wananchi wote kutembelea banda letu laHalmashauri ya Wilaya ya Tunduru, lililopo katika Viwanja vya John Mwakangale,Uyole - Mbeya, wakati wa Maonesho ya Nanenane kuanzia tarehe 1-8 Agosti, 2025!
Njoo ujifunze mengi kuhusu fursa za uwekezaji, maendeleo ya kilimo, miradimbalimbali, na vivutio vya utalii vilivyopo Tunduru. Tutakuwa na wataalamu wetuwaliobobea tayari kukuhudumia, kukupa taarifa sahihi, na kujibu maswali yakoyote.
Usikose fursa hii adhimu ya kujionea namna Tunduru inavyoendelea kukua nakuchangia katika uchumi wa taifa. Karibu sana, tujenge Tunduru yetu kwa pamoja!
#Nanenane2025 #TunduruYetu #MaendeleoKwanza #KilimoBiashara#UwekezajiTunduru
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.