• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Video

  • TUNDURU yapewa bilioni 1.2 miradi ya BOOST

    August 21st, 2023

    Kaimu Afisa Elimu Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dastan Chiyombo amesema Serikali imetoa Zaidi ya Shilingi billion 1.2 kutekeleza miundombinu 83 katika Shule za msingi.

    Chiyombo amesema hayo mjini Tunduru katika mahojiano maalumu ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia programu ya BOOST na kwamba utekelezaji wa miradi hiyo ipo katika hatua za umaliziaji.

  • WALIOPO KWENYE VYANZO VYA MAJI WAONDOLEWE

    August 18th, 2023

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo kuwaondoa wote wanaofanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji.

    Mkuu wa Mkoa pia amewaagiza mifugo holela yote ipelekwe kwenye maeneo ya vitalu yaliyotengwa kwa ajili ya mifugo.Alikuwa anazungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mputa wilayani humo.

  • Wanyama Pori Tishio Tunduru

    August 18th, 2023

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Mradi wa Kutatua migongano baina ya binadamu na wanyamapori katika ukanda wa Ruvuma.

    Uzinduzi wa mradi huo unaotekelezwa na  serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Shirika la (GIZ) la nchini Ujerumani umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea  ukishirikisha wawakilishi kutoka mikoa ya Ruvuma na Lindi.

    Akizungumza kabla ya kuzindua mradi huo,Mkuu wa  Mkoa wa Ruvuma amesema migongano baina ya binadamu na wanyamapori ni miongoni mwa changamoto kubwa katika mikoa ya kusini  hivyo kuhatarisha Maisha ya wananchi na mali zao

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKUU WILAYA YA MUFINDI, MHESHIMIWA LINDA SELEKWA ATEMBELEA BANDA LA TUNDURU

    August 06, 2024
  • DED Marando ndani ya Maonesho ya Nanenane Mbeya.

    August 05, 2024
  • TUNDURU ipo nanenane Mbeya na Uyoga wa kutengenezwa kwa njia ya kisasa

    August 04, 2024
  • AFISA LISHE YUPO KATIKA MAONESHO YA NANENANE

    August 04, 2024
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

Tovuti linganifu

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.