Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Denis Masanja, amekabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 574,257,500 kwa vikundi 227 Hafla ya makabidhiano ilifanyika leo, Agosti 11, 2025, katika ukumbi wa Skyway, ambapo Mheshimiwa Masanja alikabidhi mfano wa hundi kwa vikundi mbalimbali vilivyonufaika.
Ndg. Bosco Oja Mwingira ambaye ndiye Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tunduru Kusini na Kaskazini ametoa hotuba yake katika mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata.
MUUGUZI MKUU HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU ATOA TAHADHARI KUJIKINGA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.