Tume ya Utumishi wa Umma imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru leo Agosti 22, 2025 kwa lengo la kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa shughuli za rasilimali watu katika taasisi za umma.

Tume hii imeanzishwa mwaka 2002 na baada ya maboresho ya mwaka 2004 ilipewa majukumu mbalimbali ikiwemo kufanya ukaguzi, kumshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Ibara ya 36 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuwa na mamlaka ya kusikiliza rufaa.
Katika ziara yake Tunduru, Tume inalenga kufanya ukaguzi wa kimaadili na kitaasisi kwa watumishi wa umma, ikijumuisha maeneo yafuatayo:
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.