• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

DAMU SALAMA, UHAI SALAMA: TUNDURU YAKUSANYA CHUPA 224 ZA DAMU KUPITIA SHULE ZA SEKONDARI

Imewekwa : February 6th, 2026

Zoezi la uhamasishaji, uelimishaji na uchangiaji wa damu ni zoezi endelevu linalolenga kuokoa maisha ya wahitaji na kuhakikisha upatikanaji wa damu salama katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya. Kupitia zoezi hili, Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru imeendelea kufika katika maeneo mbalimbali ikiwemo shule, makanisa na misikiti ili kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa uchangiaji wa damu.

Kwa kipindi cha kuanzia tarehe 02 hadi 06 Februari, 2026, Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, kwa kushirikiana na Timu ya Damu Salama Kanda ya Kusini kutoka Mtwara, ilifanikiwa kutekeleza zoezi la kuelimisha, kuhamasisha na kukusanya damu kupitia shule za sekondari zilizopo wilayani humo.


Shule zilizoshiriki katika zoezi hilo ni pamoja na Shule ya Sekondari Tunduru, Semeni, Lukumbule, Shule ya Sekondari ya Wasichana Masonya, Mataka pamoja na Shule ya Sekondari Frankweston. Kupitia ushiriki mzuri wa wanafunzi na walimu, jumla ya chupa 224 za damu salama zilikusanywa.

Zoezi hili lina lengo la kuhakikisha wagonjwa wote wenye uhitaji wa damu wanapata huduma kwa wakati, pamoja na kuimarisha upatikanaji wa damu salama katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya wilayani Tunduru.


Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inaendelea kuhimiza jamii kushiriki kikamilifu katika uchangiaji wa damu, kwa kuwa damu salama ni faraja na uhai kwa wagonjwa.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DAMU SALAMA, UHAI SALAMA: TUNDURU YAKUSANYA CHUPA 224 ZA DAMU KUPITIA SHULE ZA SEKONDARI

    February 06, 2026
  • MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI TUNDURU YANAENDELEA.

    February 11, 2026
  • RPC RUVUMA AZINDUA RASMI JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO TUNDURU.

    February 09, 2026
  • NANDEMBO YAUNGANA KWA AMANI: WANANCHI WAPATIWA ELIMU YA UPENDO NA MSHIKANO KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII

    February 08, 2026
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.