wakuuu wa idara wakifuatilia kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika kufanya uchaguzi wa katibu na katibu msaidizi, pamoja na wajumbe wa baraza hilo ambalo muda wake ulikuwa umekwisha.
Kaimu Mkurgenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya Tunduru akifuatilia kikao cha Baraza la wafanyakazi cha kupitia mpango wa rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019
Katibu wa chama cha wafanyakazi TALGWU Bw.Bakari C.Kaulete mkoa wa Ruvuma akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
Katibu wa chama cha Walimu Mkoa wa Ruvuma Mwalimu Shaibu Mohamedi akiongea katika kikao cha kupitia bajeti Halmashauri ya wilaya Tunduru
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.