NA
Theresia Mallya .Tunduru
Hayo yamesemwa na vijana katika maadhimisho ya killele cha wiki ya vijana, na kumbukizi miaka 18 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea mwaka 1999, yaliyofanyika katika kijiji cha Namasakata wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma yalioambatana na manoesho ya bidhaa za kilimo na shughuli za uzalishaji wa miche bora ya korosho na Miche ya Mitiki, ufugaji wa nyuki na uchakataji wa mafuta ya alizeti na karanga.
Uchumi wa viwanda unawezekana endapo vijana watashirikishwa katika shughuli za uzalishaji, uchumi, siasa na jamii ili waweze kutoa mchango wa mawazo kupitia fursa mbalimbali zinazopatikana katika jamii zao.
wakionesha shughuli za kilimo na biashara wananzofanya katika kijii cha Namasakata walisema kufikia uchumi wa viwanda kwa tanzania inawezekana kwa kujiunga katika vikundi na kuanzisha
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.