Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndg,Odo Mwisho amewataka Wanachama na Jamii yote ya Tunduru kupanda miti ya Vivuli na Matunda katika Maeneo ya Umma na Binafsi amesema hayo Wakati alipo tembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Masonya na Kupanda Miti.
Kwa upande wa Halamashauri ya Wilaya ya Tunduru imejipanga kupanda Miti 141,412 kwa msimu 2023/2024 uku kila Tasisi ya Umma na mashirika binafsi yatapewa idadi ya miti ambayo watatakiwa kupanda kwa msimu huu.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.