Katika mkutano huo uliokuwa na agenda kuu mbili zilizojadiliwa na kufanyiwa kazi ambazo ni :-
Kufanya uchaguzi wa viongozi wa wafanya biashara wadogo wadogo (wajasiriamali),ambapo zoezi hilo lilifanikiwa kwa asilimia zote , ambapo alipatikana mwenyekiti , kaimu mwenyenyekiti ,naibu ,mtunza fedha pamoja na wajumbe watano, watakao wawakilisha wafanya biashara wadogo wadogo .
Fauka na ilo, afisa biashara alitoa maelekezo mkakati yanayohitajika kufanyika na wafanya biashara ndogo ndogo (wajasiriamali) , ambalo lilitolewa na waziri mkuu wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania MH KASSIMU MAJALIWA MAJALIWA la kuwataka wafanya biashara wadogo wadogo kutafutiwa sehemu moja ya kufanyia biashara zao, afisa biashara ametoa maelekezo hayo na kuwataka wafanya biashara hao kuamia eneo lililotengwa na serikali lililoko kata ya nakayaya.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.