Muonekano wa shule mpya ya sekondari iliyopo Kata ya Tinginya ambayo imejengwa mjini. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa fedha Zaidi ya milioni 560 ili kutekeleza mradi huo kupitia programu ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP).
shule hiyo imeanza kutoa huduma kwa wanafunzi ambao awali walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata elimu ya sekondari .
Halmashauri ya wilaya ya Tunduru inaipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi zinazoboresha miundombinu ya elimu .
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.