Mbunge Viti maalum Mkoa wa Ruvuma Mh. Jacquelin Ngonyani atekeleza ahadi yake ambayo alihadi wakati wa ziara yake alioifanya Wilaya ya Tunduru Saruji hiyo itasaidia kumalizia maboma mbalimabali ambayo yalianzishwa kwa Nguvu ya Wananchi
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.