Mratibu wa zao la korosho wilaya ya Tunduru ametoa elimu kwa wananchi (wakulima ) kuhusiana na zao la korosho kwa jinsi gani wanapaswa kuitunza mikorosho.
Mratibu amewataka wakulima kutumia viuatilifu vilivyo bora na kwa usalamaa
Pia amewaomba kutumia mbegu bora na kuzipanda kwa nafasi ili kuipa mikorosho nafasi nzuri ya kukua.
Amewasihi wakulima kutunza afya zao na mazingira kwa ujumla .
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.