Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro amesema amefurahishwa na mwitikio wa Wananchi kwenye Vitongoji vyote 1,175 wilyani Tunduru kwa kushiriki Sensa ya Watu na Makazi ambayo imeanza leo Jumanne Agost 23,2022.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.