Katika miaka miwili ya raisi Dkt.Samia Suluhu Hassan Tunduru imepata shilingi bilioni 223.9 kuwezesha sekta zote za kimaendeleo .
Mkuu wa wilaya amewataka wananchi kulinda miundombinu yotee ambayo imejengwa kwa fedha hizo
Pia amemshukuru Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuiinua wilaya ya Tunduru katika nyanja zotee za kimaendeleo .
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.