Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha wananchi wote na wadau wetu mbalimbali kutembelea tovuti yetu rasmi. Hapa ndipo utakapopata taarifa zote muhimu kuhusu shughuli za maendeleo, huduma zinazotolewa na Halmashauri yetu, pamoja na fursa mbalimbali zilizopo wilayani kwetu.
Tumekusudia kurahisisha upatikanaji wa taarifa, kuongeza uwazi, na kuboresha mawasiliano kati ya Halmashauri na wananchi. Hapa utaweza kujua zaidi kuhusu miradi inayoendelea, mipango yetu ya baadaye, na jinsi unavyoweza kushiriki kikamilifu katika kujenga Tunduru yetu.
Pamoja Tunajenga Tunduru Bora!
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.