• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

HATUA MADHUBUTI TUNDURU: MKURUGENZI MTENDAJI AWEKA MIKATABA KWA WASIMAMIZI WA MIRADI

Imewekwa : February 2nd, 2026

Uwajibikaji na ufanisi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo umeendelea kupewa kipaumbele Wilaya ya Tunduru baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya, ndug. Chiza Marando, kuzindua rasmi mikataba kwa wasimamizi wa miradi inayoendelea kutekelezwa ndani ya Halmashauri.

Uzinduzi wa mikataba hiyo umefanyika leo katika kikao maalum kilichofanyika Ofisi ya Mkurugenzi, kikihusisha wasimamizi wote wa miradi ya maendeleo kutoka sekta mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.


Akizungumza wakati wa kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji amesisitiza umuhimu wa wasimamizi wa miradi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia masharti ya mikataba waliyopewa, kwa kuzingatia viwango vya ubora, muda uliopangwa na matumizi sahihi ya rasilimali za umma.

Hatua ya kuanzishwa kwa mikataba hiyo inalenga kuimarisha uwajibikaji, kuongeza uwazi na ufanisi katika utekelezaji wa miradi, pamoja na kuhakikisha thamani ya fedha kwa miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa kwa manufaa ya wananchi wa Wilaya ya Tunduru.


Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyokusudiwa, ili kuleta tija na kuboresha maisha ya wananchi.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MARANDO AAGIZA MIRADI YOTE IKABIDHIWE IFIKAPO TAREHE 01 MACHI, KAZI IFANYIKE USIKU NA MCHANA.

    February 03, 2026
  • HATUA MADHUBUTI TUNDURU: MKURUGENZI MTENDAJI AWEKA MIKATABA KWA WASIMAMIZI WA MIRADI

    February 02, 2026
  • MKUTANO WA KAWAIDA BARAZA LA MADIWANI WA PITIA TAARIFA ZA KATA WAENDELEA TUNDURU

    January 29, 2026
  • NUKUU YA LEO

    January 26, 2026
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.