Kulipa Ada ya Huduma (service Levy ),
1. Mteja unatakiwa kuwa na muamala wa biashara ulizofanya kwa kipindi cha miezi mitatu au mwaka mzima.
2. Toa kodi ya Ongezeko la Thamani VAT kwenye Muamala
3. Mteja Unashauri wa Kufika katika Ofisi za mkurugenzi mtendaji kwa Afisa Mapato Wilaya ukiwa na muamala wako ili kupata ankara (Invoice) ambayo utaipeleka Benki kufanya malipo.
4. Kumbuka kurejesha Hati ya malipo ya Benki katika Ofizi za Mapato ili kupatiwa Stakabadhi
ukifuata taratibu hizi tayari utakuwa umelipa ada ya huduma.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.