Kilimo ni Uti wa Mgongo kwa wakazi wengi Wilayani Tunduru. Inakadiriwa kuwa zaidi ya robo tatu ya Wakazi wa Wilaya hii wanajishughulisha na Kilimo. Hali hii inashajiishwa na ukweli kwamba eneo linalofaa kwa kilimo ndani ya Wilaya ni kilomita za mraba 15,700 sawa na asilimia 83.6 ya eneo lote. Mazao yanayolimwa kwa wingi Willayani hapa ni pamoja na mazao ya Korosho, Mpunga, Mbaazi, Choroko, Alizeti na Ufuta.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.