Idara ya ardhi ya wilaya ya Tunduru inawatangazia uuzaji wa viwanja vilivyopo Mkapunda mtaa wa mchamgani , umbali ni km 3 kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru
viwanja vya makazi ni sh 2000 kwa square mita
makazi na biashara sh 2400 kwa square mita
viwanja kwa ofisi au ibada 1700 kwa square mita
eneo lipo karibu na barabara kuu iendayo masasi
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.