Imewekwa : October 11th, 2022
Mahadhimisho hayo katika wilaya ya Tunduru yamefanyika kwa kushirikisha wanafunzi wa kike na wa kiume kutoka shule mbalimbali katika wilaya ya Tunduru ,katika hafla hiyo ya mahadhimisho ha...
Imewekwa : October 6th, 2022
Mwenyekiti wa TAMCU Halmashauri ya Tunduru ndugu MUSA MANJAULE akizungumza na wakulima wa mbaazi na kuwaambia bei ya mbaazi imepanda kwasababu ya ongezeko la uhitaji wambaazi sokoni ...
Imewekwa : October 6th, 2022
Leo tarehe 06/10/2022 umefanyika mnada wa tano wa mbaazi tunduru dc jumla ya kilo 132,000 zilikua sokoni hii leo ambapo kampuni nne(4) zilijitokeza kununua mbaazi zilizopo sokoni ,huku kampuni moja &n...