Imewekwa : November 13th, 2023
Pichani ni Katibu Tawala Wilaya ya Tunduru Ndg. Milongo Sanga ( mwenye kofia ) akishiriki chakula cha jioni Novemba 12, 2023 pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Masonya ambao ...
Imewekwa : November 12th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametembelea na kukagua ukarabati wa Daraja lililopo Muhuwesi Novemba 12,2023.
Ukarabati huo Mdogo umekuja baada ya daraja hilo kupata hitilafu...
Imewekwa : November 10th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Ndg. Chiza Marando, ameendesha kikao cha kawaida cha kujadili utekelezaji wa shughuli za lishe kwa robo ya kwanza (Julai – Septemba 2023) ...