Imewekwa : October 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh. Wakili, Julius S. Mtatiro, amepongeza mradi wa Kiuma wa Kilimo kwa kuanza kutoa mafunzo ya miaka miwili kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine.
Mradi ...
Imewekwa : September 29th, 2023
Wakulima wa Mbaazi wilaya ya Tunduru wameingiza zaidi ya bilioni 10 katika mauzo ya zao la Mbaazi kwa njia ya Stakabadhi ghalani, baada ya kufanyika kwa minada mitano ya zao hilo kwa msimu wa 20...
Imewekwa : September 28th, 2023
Mnada wa tano wa zao la Mbaazi umefanyika tarehe 28.09.2023 katika kijiji cha Tulieni, AMCOS ya Namitili Wilayani Tunduru, mnada huu utakuwa ndio wa mwisho kwa zao la Mbaazi msimu huu.
Katika mnada...