Imewekwa : July 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru,Mhe. Simon Chacha ameshuhudia zoezi la utiaji wa saini kwa Askari wa Uhifadhi wa Kijiji (VGS) 20, ambao wataenda kufanya kazi ya ulinzi wa maeneo ya jumuiya za wanyamapori za...
Imewekwa : July 29th, 2024
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Komredi Oddo Mwisho, amefanya ziara ya siku tano mfululizo Wilayani Tunduru kuanzia tarehe 25- 29.07.2024. Ziara hii imekuwa na lengo la kuimari...
Imewekwa : July 17th, 2024
Katika juhudi za kudumu za kulinda wananchi na mali zao dhidi ya migongano na wanyamapori, hasa tembo, Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru imeendelea kutoa mafunzo ya vitendo kwa wananchi wa vijiji vya M...