Imewekwa : May 7th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Simon Kemori Chacha, amewaagiza viongozi katika kata na vijiji, pamoja na maafisa elimu kata kuhakikisha wananfunzi wanapata mlo wakiwa shuleni wakati wa masomo.
...
Imewekwa : May 6th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Simon Kemori Chacha amewataka walimu wakuu na walimu wa michezo mashuleni kuhakikisha kuwa ratiba ya michezo zinazingatiwa na wanafunzi wapewe nafasi ya kushiriki michez...
Imewekwa : April 29th, 2024
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Tunduru, ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Simon Kemori Chacha, pamoja na wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya, wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo in...