Imewekwa : October 27th, 2023
Bodi ya Afya na kamati za usimamizi wa vituo vya kutolea huduma ya Wilaya ya Tunduru imezinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa, Wakili Julius S. Mtatiro tarehe 27.10.2023. Uanzishwaji...
Imewekwa : October 26th, 2023
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Tunduru, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD), ujenzi wa Shule mpya, maabara, majen...
Imewekwa : October 26th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Ndg. Chiza C. Marando anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Lishe tarehe 30.10.2023, ambayo yataadhimishwa kwenye Wilaya Zo...