Imewekwa : March 6th, 2018
Siku ya wanawake duniani ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1900, kupitia wanawake waliokuwa wanafanya kazi katika sekta ya viwanda nchini Marekani walioandamana kupinga mazingira duni ya kazi zao, wakilal...
Imewekwa : February 27th, 2018
Akiwa katika ziara ya siku nne ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Tunduru kusini mbunge wa Tunduru kusini Mh. Daimu Mpakate alifanya ukaguzi wa ujenzi wa nyumba ya mganga...
Imewekwa : February 24th, 2018
Kufuatia uchakavu wa miundombinu ya elimu katika shule za Halmashauri ya wilaya Tunduru, serikali iliunda mfuko wa elimu wilaya ili kuweza kukabiliana na changamoto za shule za msingi na sekondari has...