Imewekwa : August 4th, 2024
Uyoga ambao tunaufurahia kwenye mlo wetu sio lazima utoke porini tu. Teknolojia ya kisasa imetuwezesha kuzalisha uyoga kwa wingi na ubora wa hali ya juu katika mazingira yaliyodhibitiwa.
Halmasha...
Imewekwa : August 4th, 2024
Karibu katika Banda letu la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru upate ushauri juu ya Lishe na Mtindo bora wa Maisha, wataalamu wetu watakupatia ushauri wa kitaalamu juu ya afya yako.
Karibu sana v...
Imewekwa : August 3rd, 2024
Ikiwa ni siku ya 3 tangu maonesho ya siku ya wakulima (Nanenane) kuanza hapa katika Viwanja vya nanenane John Mwakangale, Mkurugenzi Mtendaji CPA.Gilbert Kayange ametembelea banda la Halmashauri ya Wi...