Imewekwa : January 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Wakili Julius S. Mtatiro amefanya ziara ya siku tatu ya kikao kazi kuanzia tarehe 25-27 mwezi Januari 2024 kufuatilia hali ya udahili wa watoto shule za sekondari zilizo...
Imewekwa : January 23rd, 2024
Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Tunduru, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Shule mpya,Majengo ya Tehama, Maktaba,Mabweni na Matundu ya Vyoo.
...
Imewekwa : January 18th, 2024
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalamu "Vibrio cholera".
Chukua tahadhali zote kujikinga na ugonjwa wa kipin...