Imewekwa : February 8th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Adv, Julius S. Mtatiro, amehitimisha vikao vya kazi vya kufuatilia udahili wa kidato cha kwanza mwaka 2024
Akizungumza katika vikao kazi na Watendaji wa Kata,waratib...
Imewekwa : February 7th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru imefanya kikao cha kawaida cha kujadili utekelezaji wa mkataba wa afua za lishe Februari 5, 2024.
Kikao kiliongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya ...
Imewekwa : January 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Wakili Julius S. Mtatiro, amefanya ziara ya kikazi kutembelea Shule ya Sekondari Ligunga. Katika ziara hiyo, amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo ya maji na vyoo.
...