Imewekwa : June 9th, 2019
Benki ya posta Tanzania Tawi la Tunduru imekabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 2,949,000.00 kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Tunduru kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi wa...
Imewekwa : June 4th, 2019
Wakulima wa ufuta wilayani Tunduru wameipongeza serikali kwa kusimamia soko la ufuta kufanyika katika mfumo wa ushindani wa bei katika msimu wa mwaka 2018/2019.
Mfumo huu umeleta tija sana kwa waku...
Imewekwa : June 3rd, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani S. Jafo (Mb), amesema haita ruhusiwa kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2019 katika...