Mnada wa tano umefanyika leo kijiji cha Kitanda chama cha Ushirika cha Mlingoti Magharibi.
Kilo zilizokuwa zinauzwa kwa leo ni 3,771,868. Wanunuzi walioshinda ni hawa wafuatao kwa kila mnada
Ghala la Daywinry
1. Udhaya kilo 494,094@2,108=1,041,550,152
2. Udhaya kilo 177,774@2,108=374,747,592.
Ghala la Zuma
3.Udhaya kilo 1,300,000@2105=2,736,500,000
4. Export Ltd kilo 786,047@2,105=1,654,628,935
Ghala la Kossa
5. Iscon kilo 500,000@2106=1,053,000,000
6. Export kilo 513,953@2105=1,081,871,065
Jumla kuu kwa maghala yote kilo 3,771,868 sawa na Tzs. 7,942,297,744.00
Bei wastani kwa Mkulima ilipatikana Tzs. 2,105
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.