Muonekano wa Shule mpya ya sekondari iliyopo Kata ya Tuwemacho, ambapo Rais wa awamu ya sita, Mheshimiwa, Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi fedha shilingi Milioni ametoa fedha milioni 464 ili kutekeleza mradi huo kupitia programu ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP). Ambapo Shule hiyo ya sekondari imekamilika na kuanza kutoa elimu ya sekondari kwa wanafunzi wa Kata hiyo ambao walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata elimu ya sekondari.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.