Leo umefanyika mnada wa sita wa zao la Korosho katika Kijiji cha Majimaji chama cha Msingi Majimaji. Jumla ya kilo zilozkuwa zinauzwa leo ni 1,383,172. Wanunuzi waliojitokeza leo walikuwa 10 na walioshinda mnada ni hawa wafuatao kwa kila ghala;
A. Ghala la Daywinry
1. Sedaco kilo 120,000 @ 2,117 = 254,040,000.00
2. Blazing Star kilo 174,272@ 2,121=369,630,912.00
B: Ghala la Zuma
1. Iscon Commodities kilo 435,000@2,120=922,200,000.00
2. Blazing Star kilo 227,201@2,121=481,893,321.00
C: Ghala la Kossa
1. Blazing Star kilo 98,527@2,121=208,975,767.00
2. RBST kilo 328,172 @2,116=694,411,952
Na kufanya jumla ya kilo 1,383,172 kuuzwa kwa bei wastani ya Tzs. 2,119 na hivyo kufanya jumla ya fedha zilizoingia kwenye mzunguko wa fedha Wilaya ya Tunduru na Mkoa wa Ruvuma kuwa Tzs. 2,931,151,952.00.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.