Halmashauri ya wilaya ya Tunduru umefanyika mnada wa pili wa korosho tarehe 04/11/2021 mnada umefanyikia katika Tarafa ya Namasakata kata ya Ligoma uku Kampuni ambazo zilijitokeza kutuma maombi ya kununua mzigo wa korosho zilikuwa 6 ambapo Kilo 1,895,254 za Korosho zipo sokoni kwa mnada huu wa pili wa korosho kampuni zilizo shinda kununua mzigo ni kama zifuatavyo:-
A: Ghala la Daywinry
1. AMJ kilo 300,000 kwa bei ya 2,170 sawa na Tzs. 651,000,000.00
2. Udhaya kilo 136,377 kwa bei ya 2,152 sawa na Tzs. 293,483,304
B: Ghala la Zuma
1. Sibatanza kilo 500,000 kwa bei ya 2,160 sawa na Tzs. 1,080,000.00
2. Hajari trade, kilo 100,000 @ 2,155 sawa na Tzs. 215,500,000.00
3. Dizygotic Ba kilo 300,000 kwa bei ya 2,155 sawa na Tzs. 646,500,000.00
4. Udhaya kilo 107,031 kwa bei ya 2,152 sawa na Tzs. 230,330,712.00
C: Ghala la Kosa
1. Udhaya 451,846 kwa bei 2,152 sawa na Tzs. 972,372,592.00
Na kufanya jumla ya kilo zilizouzwa kuwa 1,895,254 na kufanya jumla ya Tzs. 3,010,266,608.00 kuingia katika mzunguko wa fedha Tunduru.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.