Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Inawatangazia waandaaji wote wa maudhui mtandaoni waliopo Wilaya ya Tunduru kuwasilisha maombi ya usajili kupitia fomu maalum iliyotolewa kwa ajili hiyo.
Fomu ya maombi inaweza:
PAKUA FOMU HII:FOMU YA MAOMBI YA MWANDAJI WA MAUDHUI.pdf
Afisa Habari anapatikana Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.
Barua pepe rasmi ya kuwasilisha maombi:
maudhui@michezo.go.tz
Zoezi la usajili limeanza: 30 Januari 2026
Zoezi la usajili linaisha: 15 Februari 2026
Maombi yote yawasilishwe kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.