Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kwa masikitiko makubwa, anatangaza kifo cha Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Namasakata, Mheshimiwa Rashidi Saidi Makosela, aliyefariki dunia jioni ya leo tarehe 09.02.2026 akiwa njiani kuelekea Ndanda kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali.

Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.