Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa.Kelvin Mapunda amezitaka Halmashauri kuunga mkono jitihada za Serikali inayoongozwa na Daktar Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT kwenye usimamizi wa miradi ya maendeleo kwakuwa serikali imetoa mabilioni ya fedha katika Mkoa wa Ruvuma, hivyo waheshimiwa madiwani kwa kushirikiana na timu ya wakurugenzi wahakikishe wanasimama imara ili miradi itekelezwe kwa wakati lakini pia kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa mapato kwenye Halmashauri.
Pichani ni wajumbe wa ALAT Mkoa wa Ruvuma
Ameyasema hayo katika kikao kazi kilichoketi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru tarehe 19.08.2024.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.