Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ililete fedha shilingi milioni 370 kwaajili ya ujenzi wa jengo la matibabu ya Dharura (EMD) katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru.
Ujenzi wa jengo hilo umekamilika kwa Asilimia 100, pia vifaa tiba vya kisasa vimefungwa katika jingo hilo na kuanza kutumika kwa kutibu wagonjwa toka Septemba
Halmashuri ya wilaya ya Tunduru inaishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuzidi kuboresha miundombinu ya Afya kwa kuongeza wigo mpana wa matibabu katika wilaya ya Tunduru ukilinganishana hapo awali.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.