• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Ni Wajibu wa Kila Kiongozi Kusikiliza na Kutatua Kero za Wananchi

Imewekwa : April 18th, 2019

Na: Theresia Mallya, Tunduru DC

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa ni wajibu kwa kila kiongozi kusikiliza na kutatua kero za wananchi  ili kupigia hatua za maendeleo yao.

Mhe. Homera ameyasema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa mashamba ya Ufuta, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Tarafa za Namasakata na Lukumbule zilizopo katika jimbo la Tunduru Kusini.

Akijibu kero za uhaba wa maji katika Tarafa ya Lukumbule na Namasakata Mhe. Juma Homera alisema kuwa amesikia kilio cha muda mrefu cha wananchi juu ya uhaba wa maji katika vijiji vingi vya wilaya hiyo.

Aliongeza kuwa Serikali kwa kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Help for Underserved  Community (H.U.C) wanachimba visima vya maji katika majimbo yote mawili ya Tunduru Kusini na Kaskazini ili kupunguza tatizo la maji katika halmashauri ya Tunduru.

Aidha Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Help for Underserved  Community (H.U.C)  kwa sasa inaendelea kufanya utafiti katika vijiji vilivyosalia ili kufanya uchimbaji wa visima vya maji vilivyosalia kuanzia mwezi Mei 2019.

Ambapo  vitachimbwa visima 11 katika Kata ya Tuwemacho, viwili viwili katika vijiji vya Nasya, Namasalau na Chemchemi, na visima vitano kijiji cha Tuwemacho ambapo visima vitatu 3 ni mchango wa Mkuu wa wilaya na visima viwili mchango wa mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo la Tunduru Kusini.

Mhe. Homera aliendelea kusema kuwa ili kuongeza uzalishaji na wananchi kufanya kazi za kujiletea maendeleo ni vyema huduma za jamii kuwepo karibu kama maji, ili kufikia lengo la serikali la upatikanaji wa maji vijijini kwa asilimia 85 ifikapo 2020.

Hata hivyo upatikanaji wa maji safi na salama katika halmashauri ya Tunduru hadi kufikia Aprili 2019 ni asilimia 69 kwa maji mjini na asilimia 68.5 maji vijijini.

Mwisho.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA ROBO YA KWANZA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE KATA NA WILAYA CHAFANYIKA TUNDURU.

    November 18, 2025
  • KAMATI YA LISHE Tunduru Yajadili Mikakati Ya Kuimarisha Afua Za Lishe Katika Jamii.

    November 13, 2025
  • DC MASANJA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA MAJI MSINJI, ATAKA UKAMILISHWE HARAKA

    October 24, 2025
  • DC MASANJA ATOA WITO WA AMANI KWENYE UCHAGUZI, AENDELEA KUPIGA VITA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI TUNDURU.

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.