O
Katika picha ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Ndg Gasper Z. Balyomi akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Mahakama ya mwanzo Nakapanya, katika halfa ya kukabidhi jengo hilo kwa Jaji mkuu kanda ya Songea iliyofanyika katika viwanja vya Mahakama hiyo mapema wiki hii.
Katika picha katika ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi Christina Mndeme akikata utepe kulia kwake ni mwenye wa CCM wilaya be. Hamza Bora, na Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Tunduru ndg Gasper Z Balyomi na upande wa kushoto ni aJaji Mkuu Kanda ya Songea na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe.Julius S Mtatiro
Muonekano wa Mahakama ya mwanzo Nakapanya
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.