• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

RC Ibuge ameipongeza Tunduru dc kwa kuvuka lengo katika kukusanya mapato ya ndani zaidi ya Bilioni 3

Imewekwa : June 15th, 2021

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali  Wilbert Ibuge ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kwa kuvuka lengo kwa kukusanya mapato ya ndani zaidi ya Bilioni 3 uku makadirio yalikuwa bilioni 2 na  nusu kwa mwaka.

Aidha Mkuu wa mkoa wa Ruvuma amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri  ya Wilaya ya Tunduru Ndugu Gasper Zahoro Balyomi kwa kuweza kulipa staiki zote za madiwani kwa wakati adi sasa hakuna diwani hata mmoja anaedai staiki zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru  pia Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameipongeza Halmashauri kwa kutoa kiasi cha Milioni miambili ishilini na  nne  ni 10%  ya Wanawake, Vijana  na walemavu.

Pia Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo  wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kuacha kujibu hoja za CAG kwa mazoea kwani hali hiyo ya kujibu hoja za CAG kwa Mazoea ndiyo iliyoa pelekea kupata hati yenye Mashaka  aidha Mkuu wa mkoa alisema kuwa kwa miaka mitano mfululizo kuanzia mwaka 2014-2015 mpaka 2018-2019 Halmashauri ya wilaya ya Tunduru imepata hati safi sasa kwa mwaka 2019 – 2020 kwa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kupata Hati yenye shaka kwa hali hii Wakuu wa Idara wanatakiwa kuacha kujibu hoja kwa mazoea ili Halmashauri ya Tunduru iweze kurejea kupata hati safi kama kawaida yake.

Mwisho, Mkuu wa mkoa amewataka Waheshimiwa madiwani wanapo kuwepo katika maeneo yao ya kiutwala washirikiane na uongozi wa vijiji vyao kuhakikisha  hakuna raia yeyote kutoka Nchi jirani ya Msumbiji ana vuka mpaka kuingia Tanzania kwani Hali ya kiusalama kwa majirani zetu msumbiji sio zuri hivyo viongozi na wananchi wanaoishi vijiji vya mpakani ndio walinzi namba moja  katika kuhakikisha Wahamiaji haramu hawaingii katika Nchi yetu ya Tanzania.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA ROBO YA KWANZA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE KATA NA WILAYA CHAFANYIKA TUNDURU.

    November 18, 2025
  • KAMATI YA LISHE Tunduru Yajadili Mikakati Ya Kuimarisha Afua Za Lishe Katika Jamii.

    November 13, 2025
  • DC MASANJA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA MAJI MSINJI, ATAKA UKAMILISHWE HARAKA

    October 24, 2025
  • DC MASANJA ATOA WITO WA AMANI KWENYE UCHAGUZI, AENDELEA KUPIGA VITA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI TUNDURU.

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.