Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Hairu Hemed Musa, ametembelea katika banda la Halmashauri. Ameweza kuona kwa macho yake shughuli mbalimbali zinazofanywa na wataalamu wa Halmashauri ikiwa ni Kilimo, uvuvi na ufugaji na pia aliweza kuzungumza na wajasiriamali wanao onesha bidhaa zao katika banda hilo.
Sikukuu za wakulima (nanenane) mwaka 2024, zinaongozwa na kauli mbiu isemayo “Chagua viongozi Bora wa Serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo Mifugo na Uvuvi”
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.